Wednesday, April 29, 2015

Harakati za Nchi yetu kuelekea katika upigaji kura katiba inayopendekezwa,Uandikishaji wa wananchi katika daji wa vipaumbeluguaika uchaftari la kudumu la wapiga kura na uchaguzi mkuu ni mzigo ambao serikali yetu imejitwisha hivyo yafaa hekima na busara kutumika na uwazi wa namna gani yanawezekana au kutowezekana ili liachwe moja bali yafanyike yaliyo muhimu hivyo turejee kat

Saturday, April 11, 2015

Tanzania ni Nchi yenye Amani na wananchi wake wamerithishwa Amani hiyo lakini jinsi siku zinavyosongambe ndivyo Amani yetu inazidi kuvurugwa na wachache tena tunaowategemea kuwa wamepevuka hasa katika masuala ya kielimu sasa hali inatisha hasa tunapoona wasomi wameona siasa ndiyo ukombozi wa maisha yao na si kwa manufaa ya wananchi na Nchi yao hebu wasomi wetu kuweni wazalendo kwa Nchi yenu siasa haitawapeleka popote. wewe kama msomi tumia uelewa wako kuikomboa Nchi kwa kutafsiri sera mbalimbali kwa manufaa ya Nchi na vizazi vya sasa na vijavyo