Saturday, July 25, 2020

1.  TAARIFA ZA ASASI

Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002.
Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa  katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini kwani
Dira kugusa anga za maarifa na kubadilishana uzoefu kujenga uwezo wa watu wa rika zote kama kipaumbele cha kupata mabadiliko chanya.

Dhima kuangalia jamii vijijini kwa kutumia maarifa katika kuleta mabadiliko katika mipango ya kimaendeleo kwa kutumia fursa na maarifa kama njia ya kupunguza umaskini uliokithiri kwa kushirikiana, kujiamini na kithubutu.

2.   TAARIFA ZA WABIA WA MRADI
Mradi huu  wa kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone ni mradi unaofadhiliwa na umoja wa Africa (AU) kwa kushirikiana na Umoja wa Ujerumani  kupitia kitengo cha
AGYI_IF (African German Youth initiative- innovation Fund) mradi huu unatekelezwa katika nchi tano za Afrika ambazo ni Tanzania, Afrika kusini, Ghana, Togo na Benin.

3.   TAARIFA ZA MRADI
Mradi wa umwagiliaji kwa njia ya matone (Drip Irrigation) ni mradi unaotekelezwa na Asasi ya Tuelimike katika Halmashauri ya Nsimbo hasa katika kata ya Nsimbo na Uruwila.
Mradi huu utaanzisha shamba darasa eneo la Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Msaginya.

4.   MALENGO
Mradi huu unalenga kuwawezesha vijana wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 35 wakazi wa Halmashauri ya Nsimbo ikiwa ni kuwataka wawe vijana wenye kujishughulisha katika kujitafutia kipato kwa kutumia rasilimali ardhi iliyopo katika maeneo yao.
Mradi huu utawezesha vijana kuiga kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone.

5.   MAENEO/SHUGHULI ZA MRADI
Mradi huu utajikita kuwezesha vijana kwenye kilimo cha mbogamboga kama vile kabeji, pilipili hoho, nyanya na vitunguu maji kwa kutumia umwagiliaji wa matone.

6.   UTEKELEZAJI WA MRADI
Mradi huu utatekelezwa kama ifuatavyo;
1. Kutoa mafunzo kwa vijana kumi (10) watakao kuwa wawezeshaji kwa vijana wengine.
2. Kutoa mafunzo ya ujasiliamali katika kilimo
3.   Kutoa mafunzo ya vitendo kwa vijana arobaini (40) kuhusu kilimo cha umwagiliaji na namna ya kuandaa mifumo ya umwagiliaji
4.   Kuunda mtandao wa vijana wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji
5.   Kuanzisha shamba darasa la kilimo cha umwagiliaji
6.   Kuwakutanisha wakulima vijana na wadau ambao ni Taasisi za fedha, Wauzaji wa pembejeo za kilimo na Wafanyabiashara watumiaji wa mazao ya bustani.

Mawasiliano

Asasi ya Tuelimike
S. L. P 200, Mpanda -Katavi,
Simu:+255753391418/+255784981889
Email:twelimike@gmail.com

Friday, July 24, 2020

KILIMO CHA BUSTANI