by rahim kassonga
Elimu ndio uti wa mgongo wa taifa lolote lile duniani, lakini elimu ina misingi yake ipo mingi sana ila kwa leo nitasisitiza mambo mawili madogo ila muhimu sana.
Elimu bora na yenye manufaa hutolewa kuanzia utotoni, pia katika mazingira bora (conducive environment) hapa ndipo nilipoamua kusema tukisubiri mpaka serikali ije au wahisani watufikirie tutachelewa sana, tumeshachelewa sasa tutachelewa sana.
Tuelimike na tuchukue hatua sahihi na kwa umakini
|
tuelimike tusisubiri serikali au wahisani |
|
|
|
Tusikubali vijana wetu wawe kwenye mazingira hatarishi kama haya |
|
Watoto wanaweza kupoteza uhai kwa hali hii |
|
Afya zao tunaziweka hatarini pia |
|
Tunaweza kuwasababishia ulemavu usio wa lazima |
|
Tukae kwa pamoja sisi wenyewe |
|
Tujadili kwa kina |
|
Tuchukue hatua |
|
Hatimaye tuwajengee watoto wetu mazingira bora |
|
Tukiamua kwa pamoja tunaweza |
|
tuwajengee watoto mazingira bora kwani ndio tegemeo la taifa la baadae |