Tuesday, September 30, 2014

MAMBO HAYO


MKUTANO WA MARAFIKI DODOMA

Mkutano wa marafiki wa elimu dodoma umefanikiwa kufanyika vizuri hivi leo tumemaliza mnamo saa 10:30 napongeza sana Hakielimu kwa kutwezesha kukutana na marafiki wengine tumebadilishana uzoefu zaidi sasa tumetoka wapya kwa kazi mpya